Nawapa mgongo, mseme mchoke, Juu kulala mtalala usiku, Keshoye mkaamke na njaa. Mambo ya kwangu hayashibishi, Peni na ndururu pia havikupi. Jipe shughuli, wachana na mimi.

Wewe wa kusema sema, Wengine hakijakupata tu. Na hata wa kutenda tenda mabaya, Hujatendewa tu.
Chuma chako ki motoni, Jifunze kuwa mtulivu. Mambo ya wengine yakuhusia nini? Pilipili usiyoila yakuwashia ni?
Mwenzako akinyolewa, Chako kitie maji.

Sample comments about this video

"Finally its out 💯 can't stop listening to this song ❤️❤️"

"My national Anthem this year💜💜❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🎉💯📌keep it up continue spreading the word of God"

"Wooow have been waiting for it it's so lit 🔥 🙌"